Ben Komba/Pwani-Tanzania/2/12/2016 10:45:20 AM
Wananchi wanaoishi kupakana na msitu wa Ruvu Kusini wametakiwa wasiogope kutumia sheria ndogondogo ambazo wamejiwekea katika suala zima la kulinda misitu ya hifadhi na kuboresha mazingira yanayowazunguka.
Akizungumza ofisini kwake Meneja misitu wa Kanda ya mashariki, BW. BAKAR MOHAMED amezungumza hayo alipokutana na waandishi wa Habari ofisini kwake mjini Kibaha amewasisitiza wananchi kutumia sheria zao ndogondogo walizotunga wenyewe katika kulinda misitu ya hifadhi.
BW.MOHAMED ameongeza kuwa mkanganyiko wa gawio kwenda serikali iwapo wanakijiji wamekamata maharamia wa mazao ya misitu, faini au adhabu yoyote itatolewa na kamati ya kijiji cha mazingira na fedha kuingizwa katika mfuko wa kijiji.
Toka sheria hizo ndogondogo zzimetungwa kukidhi matakwa ya kijiji husika na hivyo kipato chochote kitachopatikana katika usimamizi wa misitu ya hifadhi hususan ya kijiji hakutakuwa na gawio kupeleka serikali kuu.
Naye BW.YAHYA MTONDA mwakilishi shirika la kuhifadhi misitu ya asili Tanzania amesema kuwa wameona changamoto ikijitokeza juu ya usimamizi wa misitu ya hifadhi kutokana na jamii kushindwa kuelewa mwongozo ambao ulikuwa katika lugha ya kigeni.
BW.MTONDA amebainisha lakini baada ya kupatikana tafsiri rahisi ya mwongozo wa usimamizi shirikishi wa misitu kwa pamoja, wananchi wakaamua kuita kikao cha wadau ili waweze kuelimishana kuhusiana suala zima la ulinzi wa misitu ya hifadhi katika kupunguza hewa ukaa.
Aidha ameishukuru kampeni ya MAMA MISITU kwa juhudi mbalimbali ambayo imefanya katika kuwapatia elimu wananchi juu ya umuhimu wa utunzaji wa misitu ya hifadhi.
MAMA MISITU ni kampeni ya mawasiliano inayolenga kuboresha utawala misitu Tanzania, kukuza matumizi endelevu ya mazo ya misitu ili wananchi waweze kunufaika na rasilimali za misitu na kampeni ya mama msitu imebeba dhamira na maono ya kuhifadhi, kulinda nakuhamasisha matumizi endelevu ya misitu.
END.
Показать полностью
Свернуть
Похожие видео
Рекомендации для вас
02:29
🔥 ЗАО "БНБК" — качество и инновации для агропромышленности ...
Телеканал "Беларусь 1"
388 просмотров
02:51
ЗАО “Фароз” объявила о своем банкротстве
Хабархо I Habarho
1K просмотров
07:25
Школа безопасности ЗАО 23-24 апреля 2022.mp4
ТАТЬЯНА ЛАРИОНОВА
560 просмотров
11:15
НОВЫЕ МОДЕЛИ ИЗДЕЛИЙ ИЗ СЕРЕБРА 925 ПРОБЫ ӏ НОВИНКИ ОТ ЗАО К...
Серебряная Птица. Ювелирные изделия из серебра
1K просмотров
08:32
Лыжня России 2018 ЗАО Проминвест
Сфера ТВ
2K просмотров
00:07
ЗАО МЫС
Владислав Шапша
489 просмотров
01:25
ОСБ ЗАО УБЕГАЕТ VID20220815115432.mp4
Рупор СОЛНЦЕВО
81 просмотр
01:56
Школа Интеграл, Филёвский парк, ЗАО, Москва
Московский образовательный
471 просмотр
00:15
ДИПЛОМИРОВАННЫЙ ЮРИСТ ЗАО РФ
ВОЗРОЖДЕНИЕ МОЕГО ОТЕЧЕСТВА
139 просмотров
02:20
Уколы или таблетки от ожирения. Что эффективнее?
Здоровье с Еленой Малышевой
1M просмотров
25:41
В круге добра | 3 серия | Смотрите на START
Онлайн-кинотеатр START
502K просмотров
02:43
Россияне массово БЕГУТ из РОССИИ в БЕЛАРУСЬ!
Стас Ай, Как Просто!
591K просмотров
01:33
Как испечь хлеб в рукаве, вкусный и хрустящий. Записывайте р...
Мама готовит
857K просмотров
15:16
«Поклонимся Великим тем годам...»
Экспертные Клубы. Говорят Эксперты
459K просмотров
01:04
Путин и его школьная учительница: трогательная встреча в Мос...
Наша страна Россия
600K просмотров
37:35
Без халатов | КАК ЗАМЕДЛИТЬ СТАРЕНИЕ КОЖИ? ГЛАВНЫЕ СЕКРЕТЫ |...
Доктор Мясников
951K просмотров
01:06
Курица с кабачками в духовке
Вкусно и Просто c Ноной!
1M просмотров
00:26
Видео
Татьяна Буланова
732K просмотров
02:44
Выходной день и умелый папа
Моё хобби — строить дом
746K просмотров
34:03
Разрядка: Визит Брежнева в США || Аудиодрама [Прослушка]
МЭШанина
1M просмотров
01:03
«Четвёртая экономика мира»: Решетников — Путину об успехах Р...
Наша страна Россия
265K просмотров
00:21
«Задача — сделать это тенденцией»: Решетников о сокращении д...